Hahahahaha[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]. Nimpelekee supu au yeye ndo aniletee "konokono" laivu? [emoji125]♂️[emoji125]♂️[emoji125]♂️[emoji125]♂️[emoji125]♂️[emoji125]♂️
[emoji117][emoji117][emoji117]Alishasema hawapendi konokono hata kuwaona tu hataki. Usimchokoze bebi wangu jamani. Yeeeuwiii wallahi! [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Si anapenda mapacha [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23][emoji120][emoji120]
Ila wa4 [emoji23][emoji23][emoji23]utachangia malezi eeh
Si anapenda mapacha [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23][emoji120][emoji120]
Ila wa4 [emoji23][emoji23][emoji23]utachangia malezi eeh
Mweka hazina[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]. Kama ni hivi tuanzishe kanisa aisee we uhubiri mi mweka hazina !!!
Shawishi[emoji125]♂️[emoji125]♂️[emoji125]♂️[emoji125]♂️[emoji125]♂️[emoji125]♂️[emoji125]♂️[emoji125]♂️[emoji125]♂️[emoji125]♂️[emoji125]♂️[emoji125]♂️[emoji125]♂️[emoji125]♂️[emoji125]♂️
MaendeleoKupalilia mashamba,kupanda na mbegu,[emoji222] [emoji222] [emoji222] kwa nafasi
Dah!leo hii akili sijui yawaza nini[emoji85] [emoji85] [emoji85] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
Akili zinawaza majibapa ya wikiendi[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Kupanda mbegu...kwenye vitalu vya mpunga. Maji mpaka magotini na tope la kufa mtu. Mwinamo mpaka migongo inauma [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Akili za Ijumaa hizi zina shida....
Kabisa kwa hili mkuu amethubutuAngalau for the first time kuna kitu kimefanyika. Washenzi hawa walikuwa wanajichotea tu madini yetu....
Japo halikuwa lengo sio mbaya