Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Aaaa jamani! Why Arsenal? Wenga atakushangaza. Hao Man City wanaweza kuchapwa na Arsenal aisee. Ningekuwa nabet ningebet kinyume nyume siku hiyo. Wenga ataushangaza ulimwengu wa soka !!!
Tubet hapa,aseno ikishinda nakupa likes mia za fasta fasta ila man city ikishinda unasamehe deni la mahari unayodai kwa akina nanilii hahahahaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…