Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Kweli mkuu acha kabisa nimepoteza pesa kwenye Forex wiki hii Na kwenye betting acha kabisa Niko fire Vat 69 hata hainisaidii leo
Jaribu jibapa...On a serious note, pole sana. There is always tomorrow (kwenye Forex). Huko kwenye kamari (betting) no comment.

Kuna jamaa hapa alikuwa ananiambia kuwa ana mbinu bullet proof ya Forex hakuna kupoteza pesa. Ni stori tu au inawezekana kweli mtu akawa na ujanja huo hasa ukizingatia utata wa biashara yenyewe?
 
Katika jamii tunayoishi tumekuwa na watu wengi ambao tunatumia muda mwingi tukiwa nao na kuwasiliana nao katika mitandao ya kijamii. Watu hao kwa jina lingine tunaweza kuwaita marafiki.Watu hawa ni muhimu sana katiaka maisha yetu ya kila siku bila sisi wenyewe kujua umuhimu wao
 
.Kama binadamu ni muhimu kuwa na marafiki
Sisi kama binanadamu tunahitaji kuwa na marafiki.Binadamu ni viumbe ambao wanapenda sana kuchangamana na wengine katika harakati zao za kila siku.Bila hivyo maisha yangekuwa yanachosha sana na tungekuwa wapweke.
 
hahahahahahahah lol! ndiyo angejibu pawaaaaaaaa ukawaaaaa 🙂🙂

Hiyo ni alama ya ushindi duniani kote mkuu. Ningekuwa na akaunti ya Instagram ningemtwanga "Pipoooooooooooooz" halafu nisikilizie jibu lake. You never know [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
2.Marafiki wanaweza kukufanya uishi vizuri kama una hasira
Rafiki ni mtu wa kwanza kuwa karibu na wewe na kukufariji ukiwa na hasira au ukiwa unajisikia vibaya kutokana na tukio fulani baya ambalo limekutokea.Kwa mfano ukiwa umepoteza kazi yako ya sasa au umetokewa na tukio baya lililosababisha ukose amani basi marafiki kwa vile tunawaamini watakupa nguvu na kujiona mtu mwenye amani.
 
3.Kubadilishana mawazo
Kujichanganya na marafiki mbalimbali inatusaidia kupata mawazo mbalimbali.Kuna usemi wa zamani usemao kidole kimoja hakivunji chawa,hapa naamanisha mawazo yetu pekee hayatakusaidia kufika mbali sana kama hutachanganya na wengine kwani kila mtu ana mtazamo tofauti.
 
4.Kusaidiana katika shida mbalimbali
Mtu asikudanganye rafiki wa kweli ni yule ambaye atakuwa na wewe wakati wa shida.Sisi kama binadamu huwa tunapatwa na shida mbalimbali ambazo zinahitaji msaada wa pesa au hata ushauri ili kuzitatua.Misaada hii mara nyingi tunazipata kutoka kwa marafiki wetu wa karibu
 
5.Kufanya biashara pamoja
Kwa wale watu ambao ni wajasiriamali jambo hili si geni sana kwao kwani kwenye biashara kuna kitu kinaitwa Joint venture .Unaweza ukawa na wazo la biashara lakini ukawa huna mtaji,kwa kuangaza huku na kule unampata rafiki yako ana mtaji basi unampa wazo mnaanzisha biashara.Biashara nyingi ambazo zinafanyika kwa kushirikiana huwa zinafanikiwa sana.
 
6.Unaweza kupata mchumba kupitia marafiki
Ukifanya utafiti wa kina wa watu wengi walioona walianza kuwa marafiki kwanza.Hii inakuwa rahisi kwa sababu watu wanapokuwa marafiki kwa muda mrefu inakuwa rahisi kujua tabia ya mwenzao,anapenda nini na nini hapendi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…