15.Kama unataka kuwa tajiri fanya wafanyayo matajiri.Usijidanganye kuwa unaweza kuwa tajiri kwa kulala mpaka saa tatu au nne asubuhi,kukesha kuywa nzima unaangalia TV na kupoteza muda mwingi kupiga majungu kijuweni.Ili ufanikiwe unapaswa uchape kazi kwa bidii na kwa malengo thabiti.