Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

b5b28a1100f1e7dff5eff0aab1d7758d.jpg
 
Prof. Muhongo alikuwa anaahirisha safari za nje akikosa first/business class. Kwenye ndege hiyo hiyo balozi wa Sweden anarudi kwao kwa likizo fupi kapanda economy class. Go figure !!!

Au enzi za Mr. Dhaifu aka Vasco da Gama, msafara mmoja uliosheheni ulikuwa unakula mpaka dola 250K kwa ziara ya wiki moja Ulaya/Marekani. Misplaced priorities.....
kweli..
 
Back
Top Bottom