[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] mkuu habari za leoHuwa hamsemagiiiii....[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Umesema umbea[emoji22][emoji22][emoji22]
Sijui nidai talaka[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Cc:Yego
Likes za asbhLikes za jioni
AMUN RA18:00
11:2118:00
Kweli mkuuMahusiano bila uaminifu ni sawa na simu bila network, utacheza game tu.
WordNakuamini. ni sifa nzuri kuliko nakupenda.kwa sababu huwezi kumwamini mtu usiempenda,lakini utampenda mtu unayemwamini.
AMUN RAMahusiano mazuri hayahitaji ahadi,hali ya kifedha, yanahitaji tu mwanamke mwaminifu na mwanaume ambaye ni mwaminifu.