mzee wa liver
JF-Expert Member
- Dec 14, 2014
- 83,467
- 431,962
Yaani Mimi nashangaa Jana nilikosa mambo lakini napitia kwa sasaYaani leo watema madini mazuri sana
Yaani Mimi nashangaa Jana nilikosa mambo lakini napitia kwa sasaYaani leo watema madini mazuri sana
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Niendelee nisiendelee? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Nataka nihamie kwenye paraboz.....
Likes kwa kila postStori gani? Hapa ni likes tu hakuna cha stori wala nini [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Wa likesUsiku wa kupeana upendo
AMUN RANitaendelea na madini baadaye kidogo wapendwa.
Huwa nakuja katika uzi huu kuburudika na kujifunza.
Na hata niwe na huzuni namna gani, huzuni hiyo huyeyuka.
Siku nitakapoandika kitabu uzi huu nitautabaruku.
Baadhi ya misimamo na falsafa zangu zimerekebishwa na kuhuishwa hapa.
Dhana nzima nzima kuhusu urafiki na ubinadamu zimechanuzwa hapa
Hata kupambana na kutokata tamaa...
Asanteni nyote na tudumisheni undugu, upendo na urafiki huu.
Mungu Aendelee kutubariki daima !!!
12:1920:42
Upendo na umojaAmani na usawa
Kabisatoa tu usingoje ahsante