Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Msichana unayempenda akikwambia "Mi nina mtu tayari" usitahayari.
Kwa hali ya sasa ni nadra sana kumpata msichana mwenye sifa asiye na mtu.
Kama kweli unamtaka kwa malengo mema basi itakubidi upambane ili kumtia katika himaya yako !!!
Na hii ndiyo sababu mojawapo inayokufanya uitwe mwanaume !!!​
Mia mia
 
Back
Top Bottom