Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

AMUN RA
 
Umhimu wa mazoezi kwa afya bora na maisha marefu bila maumivu.

Moja ya mahitaji matano (5) mhimu ili kuishi baada ya oksijeni, maji, chumvi, na potasiamu; ni Mazoezi. Mazoezi ni mhimu kwa ajili ya afya zaidi ya kuwa na maumbile ya kuvutia (sex body), burudani au kitu kingine chochote.

Watu wengi hufuatilia kuhusu chakula tu, hata kama utakula vizuri vipi bila mazoezi mlo haujakamilika, kwa hiyo mazoezi ni mhimu kwa yeyote kama ilivyo kwa maji au chakula.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…