Mfano, kama mgonjwa ana kundi la damu aina A, haiwezekani kumuwekea damu kutoka aina B, hii ni kwa sababu kingamwili kinga B ya damu ya mgonjwa itaishambulia antigeni B ya damu ya damu kutoka kwa mchangiaji. Makosa ambayo hutokea wakati wa kumuwekea mgonjwa damu isivyo sahihi huwa ni nadra, lakini endapo itatokea, basi maisha ya mgonjwa huwa hatarini.