carbamazepine
JF-Expert Member
- Dec 30, 2015
- 46,577
- 285,648
[emoji23][emoji23][emoji23]me sijui bhanaHabari poa kabisa! Nimemuona, ameshaanza talalila zake! Si wanasema kelele za chura hazimzuii ng’ombe kunywa maji, au nimekosea? [emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23]me sijui bhana
Sijamuona leo.... Carba muonee basi huruma shemeji yangu"Mate"/shemeji/rafiki yako yule hajambo?[emoji124] [emoji124] [emoji124]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] weweUmesahau na jirani. Guudi kwesheni [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Umefurahiiii[emoji23][emoji23][emoji23]
Msalimu "mate"wako akija mwambie naja na maamuzi magumu suni[emoji23][emoji23]
Kushakucha. Wekapuuu ...Kwema lakini?Koh koh... Sijui nimepaliwa nini? Nakurupuka toka usingizini saa hii nakutana na madongo kama haya! [emoji23][emoji23][emoji23] carbamazepine, hujambo aisee? Long time no see! [emoji23][emoji23][emoji124][emoji124]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Niambie mama wa mie,faraja ya ndugu yangu[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Nakubali kabisa...Mwalimu wa somo la hisabati aliandika ubaoni
*36x + yx, 2/3yx + 3x (66y + 12x).b = 0*
Akamwambia Salim atatue tatizo.
Salim alichukua dasta akafuta ubao akamwambia mwalimu tatizo limeisha.
[emoji38][emoji38][emoji38].....
Matatizo yetu mengine yanahitaji dasta tu. Fuuutaaa [emoji112][emoji112].
Haina haja yakuumiza kichwa na matatizo ambayo hatuwezi kuyasolve. Ni kufuta tu[emoji125]
Maweeeee [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Umefurahiiii[emoji23][emoji23][emoji23]
Msalimu "mate"wako akija mwambie naja na maamuzi magumu suni[emoji23][emoji23]
Kushakucha. Wekapuuu ...Kwema lakini?
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Carba carba usifanye maamuzi magumu mvumilie cole wako[emoji23] [emoji125] [emoji125]
Huruma eeeh!Sijamuona leo.... Carba muonee basi huruma shemeji yangu