carbamazepine
JF-Expert Member
- Dec 30, 2015
- 46,577
- 285,648
Hivi wajua shkamoo ni salamu ya heshima?Siijibu,kwani mimi na Andaeitini nani anaonekana wa longi kitambo? Lakini una nini wewe? Nani kakuambia mie ni shikamoo? Mi bado mbichi ujue,bado siijui thamani ya sh.10'000...
Mimi hata sielewi kwakweli,kwavile talaka hamtaki kuitoa basi naomba nibadilishane na jakitoo maana simwelewi yeye na Cole Williams siku hizi mara wapeane dedications,mara waulizane weekend wapi,au hata nibadilishane na @nsamaka,ila wewe si uko singo sasahivi[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Nipo nipo saana, hakuna cha ndoa na Andaeitini. Futa kabisa kwenye mawazo yako.Baadae nitakutafuta
Ubarikiwe kwa huu moyo shemVitabu hivyo vya sayansi ya kompyuta hapo juu ni ghali. Ninavyo baadhi kama kuna mtu anavihitaji. Bure soft version...
HahhahahaaSasa wale ng'ombe wa mahari ndo imetoka ama?
Ngoja nimbane Moudgulf atoe mahari aisee. Ndo maana siku hizi anaonekana humu kwa shida. Kumbe kajifungia anakula asali mwezi. Ujanja janja wa Kizaramo si Wasukuma hatuutaki [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Mungu wa rehema[emoji120] [emoji120] ,faraja i mkononi mwako sasa.
Andaeitini hata haelewekagi anataka nini, Cole yupo kwenye wakati mgumu sana(nilimkanya sana Cole,hakunisikia,carba ni mvumilivu sana mtoto wa watu) wa kurestoo ndoa yake. Najuutaa sana(hata sijui naumia kwa ajili ya nini) carba kurubuniwa na Andaeitini,utadhani mimi sipo!!!!?!!....
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]nimekushindwa leo khaa!Sijui anataka akunyime nn na hiyo shkamoo...
Imejitaipu tuu[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
Mimi hata sielewi kwakweli,kwavile talaka hamtaki kuitoa basi naomba nibadilishane na jakitoo maana simwelewi yeye na Cole Williams siku hizi mara wapeane dedications,mara waulizane weekend wapi,au hata nibadilishane na @nsamaka,ila wewe si uko singo sasahivi[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Cc:SHIMBA YA BUYENZE
jakitoo
Cole Williams
Ngoja nikamalizie zile balimi zangu za kuchemsha nirudi[emoji124] [emoji124] [emoji124]
Kwema mkuu mambo niajeNzuri kamanda. Kwema huko?
Gumegume ama?[emoji23][emoji124] [emoji124] [emoji124] muacheeee,afanye atakavyo...atakutana na....
Sanaaaa yaani yamenikaa hapaaa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji101] [emoji101] [emoji101] [emoji101] [emoji101] (nimekosa mengi)
19:2314:58
Nipeni talaka basi[emoji23][emoji23][emoji23][emoji124] [emoji124] [emoji124]na ndoa ivunjwee... [emoji444] [emoji445] [emoji443] [emoji445] [emoji445] [emoji443] [emoji443] [emoji444] [emoji445] [emoji444]
Huyo denti balaaaMwalimu wa somo la hisabati aliandika ubaoni
*36x + yx, 2/3yx + 3x (66y + 12x).b = 0*
Akamwambia Salim atatue tatizo.
Salim alichukua dasta akafuta ubao akamwambia mwalimu tatizo limeisha.
[emoji38][emoji38][emoji38].....
Matatizo yetu mengine yanahitaji dasta tu. Fuuutaaa [emoji112][emoji112].
Haina haja yakuumiza kichwa na matatizo ambayo hatuwezi kuyasolve. Ni kufuta tu[emoji125]
Doh![emoji30][emoji30][emoji30]Aje tu kwenye bwawa analo ishi carba,atawakuta vyura walio jazia hasa
Hahahahaha mwana wasuHabari poa kabisa! Nimemuona, ameshaanza talalila zake! Si wanasema kelele za chura hazimzuii ng’ombe kunywa maji, au nimekosea? [emoji23][emoji23]
Unataka nivumilie nini tena zaidi jamani[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kwamba huoni natengengeneza fursa ama??[emoji19][emoji19][emoji134]♂️[emoji134]♂️[emoji134]♂️...Ndio nishapigwa kikumbo hapa! [emoji57][emoji57]
EPA[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] shemeji buaanaa[emoji23] [emoji23] [emoji23] ndoa imevunjika lakini wewe bado wadai mahari? Ngoja nifukunyue kwenye vitabu vya uhasibu nijue hiyo akaunti inaitwaje
Hao ndo mashemeji zangu ujue,subiri watoe talaka kwanza[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]wanaweza kuizuia makusudi kukukomesha tu shauri yakoMvumilivu hali mbivu, Hebu fanya mambo tulianzishe! Huyu andjul tumkate kisebengo chake cha kunizibia riziki! [emoji1][emoji1][emoji124][emoji124]
Atiiii ubadilishane na jaki whaaatttttt???Mimi hata sielewi kwakweli,kwavile talaka hamtaki kuitoa basi naomba nibadilishane na jakitoo maana simwelewi yeye na Cole Williams siku hizi mara wapeane dedications,mara waulizane weekend wapi,au hata nibadilishane na @nsamaka,ila wewe si uko singo sasahivi[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Cc:SHIMBA YA BUYENZE
jakitoo
Cole Williams
Ngoja nikamalizie zile balimi zangu za kuchemsha nirudi[emoji124] [emoji124] [emoji124]