Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Nafuatilia hiki kizungumkuti kinachoendelea. Hawa mates hawa we acha tu.
 
Fanya kweli bhana, ukate huo mzizi wa fitina! Mlime mtu talaka ya moja kwa moja, siyo talaka rejea! [emoji23][emoji23]
Kaone [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]. Ukimwachisha mke kwa mumewe na kwako atakuja kuachishwa tu. Malipo ni hapa hapa duniani dogo. Stop it !!!
 

Afadhali umerudi. Mahari ya uhakika aisee. Hizo tani zake za maua waridi akalishie ng'ombe au mamba wake huko Ukerewe. Kama Sanchoka mahari ni milioni 20, kwa Carba si hata milioni 80 kabisa?
 
Weeeeeee Thubutuuuu[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]

Ukaribu kwangu mbona ni wa kawaida tuu jamanii
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…