Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Najaribu hii ila nimegundua nimeanza kuwa addicted sema bado naendelea kulifanyia kazi hili jambo hasa kuingia jf,mana mitandao mingine almost 90%nimefanikiwa
 
[emoji817][emoji817][emoji818][emoji818]
Hakuna kitu kizuri kama kumsaidia mtu mwenye shida pale ambapo unaweza msaidia,hujenga furaha moyoni na unakuwa na amani kwenye nafsi yako.
Ila watu kama hawa wamebaki wachache sana wengi wetu ni wabinafsi sana.
 
Mchezaji huyo wa Kimataifa wa Brazili ataikosa mechi ya Ijumaa dhidi ya Nice baada ya kupata kadi mbili za njano
Mshambuliaji wa Paris Saint-Germain Neymar atatumikia adhabu ya kukosa mechi moja kufuatia kadi nyekundu aliyopata dhidi ya Marseille Jumapili.
Baada ya kupata kadi yake ya kwanza nyekundu tangu ajiunge na miamba hao wa Ligue 1 kutoka Barcelona kwa uhamisho wa rekodi, Neymar atalazimika kuiangalia kutokea jukwaani mechi ya PSG dhidi ya Nice Ijumaa.
 
Mbrazili huyo alitolewa dakika za mwisho katika sare ya 2-2 kwenye Le Classique baada ya kusukumana na Lucas Ocampos, ambaye huenda alikuza tukio hilo.
Ilikuwa ni kadi ya pili kwa Neymar ya njano ndani ya dakika tatu, lakini Edinson Cavani alifanikiwa kuwapatia vinara hao wa Ligue 1 PSG pointi moja kwa mpira wa adhabu aliopiga dakika za lala salama.
 
Sijawah maana wengi wasio na elimu wamenizunguka na kunisaidia sana wana pesa balaa ila wengi wao hawakubali kirahisi kuelezea mbinu wanakwambia kazana na elimu au fanya kazi kwa bidii. Aah ya nn kuumiza kichwa ,kila mtu na bahati yake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…