Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Weka tu wala usijali kabisaa kukumbushiana muhimu sana. Wekeni nyingi ili na lengo la kula likes litimie vizuri. Hata darasani huwa tuna correction
 
Hii ngumu
 
Uwiiii mara nyingi napenda umbea wa mitandaon mtamu
 
Inaaminika kuwa Chelsea wanajipanga kutoa ofa kwa ajili ya mshambuliaji wa Arsenal dirisha la uhamisho wa Januari.
Bosi wa Blues Antonio Conte anatamani kuipata huduma ya Mfaransa huyo ili kutengeneza ushindani kwenye safu yake ya mashambulizi, kwa mujibu wa Don Balon.
 
Giroud alihusishwa na tetesi za kutaka kuondoka Arsenal majira ya joto Everton ikiwa timu iliyopewa nafasi kubwa kumsajili, lakini uhamisho huo kwenda Merseyside haukufanikiwa.
Chelsea wanao mastraika wawili tu kwenye kikosi chao Alvaro Morata na Michy Batshuayi, na Conte ana shauku ya kuongeza ushindani.
 
Rio Ferdinand amesisitiza kuwa Tottenham Hotspur "haina nafasi" ya kuwania taji Ligi Kuu Uingereza msimu huu ikiwa Kane atakuwa nje kwa majeraha
Mchezaji huyo wa Kimataifa wa Uingereza alikiri kuwa kwenye kiwango cha juu katika maisha yake ya soka baada ya kufunga magoli 17 katika mechi 14 tangu Septemba.
 
Kane alitolewa dakika za mwisho dhidi ya Liverpool wikiendi iliyopita, na meneja wake Mauricio Pochettinho alionyesha kuwa na hofu alipoulizwa Jumatano jioni kama straika huyo atakuwa fiti kucheza dhidi ya Manchester United.
Ferdinand amekataa kusema kuwa Spurs ni timu ya mtu mmoja, si kama bosi wa Man City Pep Guardiola, lakini amedai kuwa tumaini lao kutwaa taji bila mchezaji huyo ni dogo sana.
 
Ikiwa Harry ataendelea kuwa fiti, naam [wanaweza kushinda]; ikiwa Harry Kane atapata majeraha, hawana nafasi," alinukuliwa na Yahoo! Sport. "Hawana mtu anayeweza kuziba pengo lake na kufunga magoli mengi kama yeye. Ndiye hirzi yao.
"Siyo kwamba yeye ni kila kitu kwa Tottenham, usininukuu vibaya - sisemi kwamba ni timu ya mtu mmoja - lakini kushinda ligi unahitaji namba tisa ambaye atafunga magoli. Kane akiwa nje ya timu sioni mwingine anayeweza kufanya mambo anayofanya yeye."
Kane amemaliza kamamfungaji bora misimu milwili mfululizo.
 
Mashetani Wekundu ni miongoni mwa klabu zinazoaminika kuonyesha nia thabiti ya kumsajili Saul, Herrera na Mata wakitarajiwa kwenda Atletico
Manchester United inajipanga kuwaengua viungo wa Kihispania Ander Herrera na Juan Mata ili kumsajili Saul Niguez kutoka Atletico Madrid.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…