Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

10.Achilia mawazo mabaya yaondoke.
Achilia vitu ambavyo vinakushikilia, mawazo mabaya kuhusu wewe mwenyewe, kuchanganyikiwa, woga na vingine utajikuta unaona urahisi wa kuachana na kila kitu kinachokuja mbele yako ambacho hakina maana kwako.
Haijalishi ni changamoto ya aina gani ulionayo. Utaweza. Ulishafanya mambo magumu kabla ya hayo. Unaweza. Wewe ni mshindi.
 
[emoji120] [emoji120] [emoji120] [emoji120] [emoji120] [emoji120]
 
Siku ilee na man city akisababisha nikupatie likes mia kwa mkupuo mmoja nitakiri ni the great
Likes mia kwa mkupuo utazitoa siku hiyo. Angalia usije tu ukapotea. Mimi kuachia ng'ombe 15 kwa Andjul au kumwachia Uniq amchukue Baby S bure bila mahari itakuwa ngumu ila nitajaribu. Man City watapigwa tu siku hiyo [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…