Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Said you are leaving someone swept your heart away [emoji444][emoji445][emoji444][emoji445][emoji443]

COLEWORLDLOVESYOU
Cc. Carba
Cc. Yego
Cc. Andjul [emoji125]‍♂️[emoji125]‍♂️[emoji125]‍♂️[emoji125]‍♂️[emoji125]‍♂️[emoji125]‍♂️[emoji125]‍♂️[emoji125]‍♂️[emoji125]‍♂️
 
Kulingana na akili ya mwanamke. Kuna jamaa huku kafulia wee mke acha aanze vitimbwi mwisho wa siku talaka hio eti mke kashindwa vumilia kulea familia ya tena ni ya watu wanne tu daah wakat jamaa anazo walitumia wote mshahara wa mke ukawa unaishia kwwnye vikoba
Kwa hali ya sasa aisee mambo yamegeuka sana. Ni kuvumiliana tu. Nina rafiki yangu miaka hii miwili yaani jamaa kaadhirika sana baada ya kuachishwa kazi na biashara zake kugoma ila mkewe amekamata familia vizuri na wanaendelea vizuri. Inatokea !!!
 
Toa siri Numbisa. Mwaga matirio. Maneno matamu hata kama ni ya uwongo?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…