Hahahahaa aisee kuna watu wana mbinu maana hapo kakamata kwa mama ili ukizingua anakusemelea unatishiwa kupewa radhi. Huyo alidhamilia kukugeuza mtumwa wakeIla aliingia na mkwara hevi. Bila mimi kujua alienda kwa mama akamjengea kajumba kabisa ka kuonekana mjini karibu na Koromije akampangishia maza akawa anachukua pesa ya kodi. Kuja kushtuka namuuliza maza kama ana shida anasema kwa wakati huo hakuwa na shida ya vitu vidogo vidogo kwa sababu pesa ya rent ilikuwa inamsaidia. Mshangao nilioupata si wa dunia hii....Kuna wanawake wajanja hapa duniani sijaona !!!
Mwanamke wa hivi hata mambo yakija kutengamaa sitahitaji hata kumuona kamwe. Ndiyo hawa ikitokea ukaugua kwa muda mrefu anakuacha. Kosea kujenga lakini kamwe usikosee kuoa....Kulingana na akili ya mwanamke. Kuna jamaa huku kafulia wee mke acha aanze vitimbwi mwisho wa siku talaka hio eti mke kashindwa vumilia kulea familia ya tena ni ya watu wanne tu daah wakat jamaa anazo walitumia wote mshahara wa mke ukawa unaishia kwwnye vikoba
Na wewe toa likes kwa post zote zilizo karibu nawe...Karibu sana !!!nimemiss like , kumbe uzi wetu wa udambwi upo
I am listening [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]sasa hebu tujifunze haya maneno ya kumwambia msichana unaempenda na unahitaji awe wako milele.
Hapo sasa. Kuna thredi huko nimeona binti anamlalamikia jamaa alimdanganya eti anafanya kazi shirika la Reli siku moja kazuka hoteli moja nzuri ya kitalii akamkuta jamaa kumbe ni mhudumu pale [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Uongo unanogesha mapenzi ujue
Kweli kabisa,nimeshuhudia mengi huku tena wa hivi wepesi kulazimisha kunuliwa vitu vya gharama ili kuwarusha mashost sasa mume akifulia aibu anaona yeye kisa maahost watamchekaMwanamke wa hivi hata mambo yakija kutengamaa sitahitaji hata kumuona kamwe. Ndiyo hawa ikitokea ukaugua kwa muda mrefu anakuacha. Kosea kujenga lakini kamwe usikosee kuoa....
Ahahahaa akome maana angeambiwa ukweli asingemkubali jamaaHapo sasa. Kuna thredi huko nimeona binti anamlalamikia jamaa alimdanganya eti anafanya Reli siku moja kazuka hoteli moja nzuri akamkuta jamaa kumbe ni mhudumu pale [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
E bana e....4.Wewe ni mzuri na ni mrembo naogopa hata kukugusa naona kama nitakuchafua.