myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,811
- 721,144
Morning 2Morning too .hope umeamka salama
Za asbh umeamka salama lakiniJamani jamani[emoji134][emoji134][emoji134]
Unajua kuna ubuyu mwingine unakufuata mwenyewe tena chumbani[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Tumbo moto..Morning 2
All the best vs Tottenham
Na kwako piaAsubuhi njema
AmenMbarikiwe siku ya Leo
Labda gunner ya kina Thiery Henryahahaahaa umeona ee city kufungwa na arsenal.ndoto
AmenLeo iwe siku ya baraka
Kabisa mkuuMapumziko yawe sehemu ya kutafakari !malengo yetu
Kweli kabisa Siku hizi wanaweka zenji flavor unakuwa kama wa zenjiPale jamatin wanauza ubuyu mwingi bei chee ila aah hauna ladha kama ule wa zenji
Kabisa mkuuSisi Wote ni muhimu hapa
Alhamdulillah kwakweli,nimeamka salama kabisa sijui weweZa asbh umeamka salama lakini
YapKila jambo na wakati wake
Toti moja aina shida umenipata tips nzuri ngoja nikajaribu bahati yangu sehemu [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Hee asubuh yote hii!!??
Sijambo habari ya weekendHaujambo
Sijauona huo,isijekuwa ni kiki maana....Hahahaha hapo sawa.
Carba umeona ubuyu wa dogo janja kumuoa uwoya. Ati ndoa ilikua jana ila picha wameficha
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Weee usijaribu kusema wigi maana hapo unausema ukweli mchungu utachukiwa,punguza makali ya maneno badala ya kusema wigi sema nywele zako