Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Hata sasa wapo!

Mwaka jana niliona jamaa analia akionyesha makaratasi waliyoandikishana timu yake imeshindwa sasa mkewe anachukuliwa na Hamis. Ila maelewano hayakuwa kumbeba jumla.....
Hahahaha kuna kituko nimesoma insta. Jamaa wa kinaijeria kampa mimba mke wa mkenya,basi mnaija akanunua gari matata bei mbaya kampa mkenya kama samahan,mkenya kapokea akifurahia ndoto zake za kumiliki gari zimetimia,kila mtu kamwona boya ila yeye anasema hajali na atamlea mkewe na akijifungua atalea mtoto kama wake,hata mnaija akimtaka akamsalimie atamruhusu mkewe aende kwa mnaija kusalimia. Mke wa mnaija kakereka sana
 
Mitandao ya kijamii siku hizi ndio imekuwa njia maarufu ya watu kuwasiliana, kupeana habari na ku-share picha, videos na story mbalimbali zinazohusu maisha na mambo yanayoendelea duniani kila siku. Kwa kutumia mitandao hii ya kijamii sasa unaweza kuwasiliana au kufahamu mambo yanayotokea dunia nzima kwa haraka na ndani ya muda mfupi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…