Unajua historia ni kweli Man u ametufunga sana tena O.T ila leo hiyo historia inavunjwa subiri bado 1 hr. Na utanikimbia humuBora nimepata wa kumtania leo mnakula nyingi. Utajuuta kuihama team
Unajua bado sijaingia kule kwa huyo tapeli.Isaya kiboko[emoji23][emoji23][emoji23]acha niende kozi kwake
Dawa imeisha eeh?ngoja nikaongeze dozi[emoji125] [emoji125] [emoji125]Leo nimerudisha ufaham kwa kweli
Nikiamua kuzifuatilia anakozitoa ni kazi ndogo tu. Kila picha iliyopigwa kwa simu (na baadhi ya kamera) inaonyesha mahali ilikopigwa, muda na hata kifaa kilichotumika na kama imerushwa mtandaoni unaweza kuangalia source ilikotoka bila tatizo lolote. Ni uwanja wake sitaki kumwingilia.Bora asikwambie anapozitoa maana una kaaplication unakasifia sana kwa kuvuta picha zote utammalizia hahaha
Zamaniii nipo mbugani kuchunga ng'ombe,yapata saa sita mchana nina redio(Philips) mkononi na kipindi ni mchana mwema.Nausikiliza wimbo 'Christina Moshi'Naelewa penzi bado ni Changa .angalia usije ukabadilika baadae. [emoji445][emoji445][emoji445]
Huwa sikimbii likes. Utanicheka huku unanimwagia likes hahahhaa ila leo mnapigwaaaa. GGMUUnajua historia ni kweli Man u ametufunga sana tena O.T ila leo hiyo historia inavunjwa subiri bado 1 hr. Na utanikimbia humu
Subiri mda OT leo mnaona pachungu namasikiticho japo ni swahiba wenu mkubwa. Ila lazima mfeMmmh kichwa.am speechless
Hahaaa yaani leo hadi rahaMwanamke ni sawa na mti wenye matunda unapondwa na kila mtu, hao walikuwa watongozaji tu,je uliona kuna mtu nilieingia nae makubaliano?
Hahahhaaha yaan leo unanichekesha kheee kama sio wewe vileSubiri mda OT leo mnaona pachungu namasikiticho japo ni swahiba wenu mkubwa. Ila lazima mfe
Nenda kasome maana kuna screenshots kabisaUnajua bado sijaingia kule kwa huyo tapeli.