Nilikupenda solemba,ila dharau uliweka mbele...[emoji444] [emoji444] [emoji444]Solemba solemba solemba haaaaa[emoji445] [emoji443] [emoji444] [emoji443] [emoji443] [emoji445]
Na ukoo mzima tunajua hivyo. Hakukuokota barabarani ati!Navyojua sijaachika, full stop!
Sijawahi kuacha kuzisikiliza hizo nyimbo kwa kweliMkuu acha kabisa ujumbe rhythms safi kabisa
Sio leo ni siku akikutana na man citySamahani shemeji,hakuna kubadilisha maamuzi.Acha Aseno aamue leo kama nitalipa au nasamehewa.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] shemejiiiiiiiYaani wewe [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23].
Kwani leo ndo anavaana na Man City?Samahani shemeji,hakuna kubadilisha maamuzi.Acha Aseno aamue leo kama nitalipa au nasamehewa.
Aaah hapo umevunja makubaliano daah mpaka mnyakyusa wa watu anatoa talaka bila kupenda,mke anampenda ila den la mahari mwiba mkaliZile likes 100 mi naona ziende zikafute mahari ya Uniq tunayomdai kwa ajili ya kumuoa Baby S (ng'ombe wawili majike wa maziwa na mbuzi wanane. Sijui na bata 30?). Huyu Mnyakyusa acha tu tukomae naye aisee. Au unasemaje?
Konokono na siyo "konokono" ila na kibaridi na vimanyunyu hivi mhhh...Maisha !!!Konokono [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
Uwiiiii akikubali kunipa yeye hizo 300 am in ila mie naweza kubali maana no way kwa aseno kumfunga city. Tatizo hakunaga vya bure duniani atiKwani leo ndo anavaana na Man City?
Kama Numbisa anataka kujumlisha na hili deni sugu korofi basi aongeze ziwe likes 300. Tunafuta deni la Uniq na lako...
November 7 ama?Sio leo ni siku akikutana na man city