carbamazepine
JF-Expert Member
- Dec 30, 2015
- 46,577
- 285,648
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]umesemaaaa?Ananikimbiaga sana.Jana nimeuza sura Mtoni kwa Aziz Ali tokea saa tano asubuhi hadi saa mbili usiku hakutokea.
Labda nijiumwishe ndio atajitokeza.
Mbona alikubali? Na makaratasi akasaini? Mbele ya mashahidi? Uwezo wa kulipa anao tena kwake ng'ombe 15 ni vijisenti tu. Mbona asilipe tu yakaisha?Aaah hapo umevunja makubaliano daah mpaka mnyakyusa wa watu anatoa talaka bila kupenda,mke anampenda ila den la mahari mwiba mkali
Usije kimbia tu maana[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]nakuonea huruma sanaAaaa wapi! Tutaona....
Sijui tu bet[emoji23][emoji23][emoji23]maanaSapuraizid?
I say hipunotaizidi...na urembo.....[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Cc:nsamaka[emoji125] [emoji125] [emoji125]Nilikupenda solemba,ila dharau uliweka mbele...[emoji444] [emoji444] [emoji444]
Mkuu mkuuuUshiniache pwekee neema..nitasema na nani miee..sifate wayasemayo wafitini. .[emoji445][emoji445]hao wako mbembele kuharibu mapenzi yetu Mimi nawe[emoji445][emoji445][emoji445]
Utashangaa sana siku hiyo. Man City watapigwa. Sasa umekubali? Likes 300 madeni yote ya Andjul na Uniq yanafutwa ama?Uwiiiii akikubali kunipa yeye hizo 300 am in ila mie naweza kubali maana no way kwa aseno kumfunga city. Tatizo hakunaga vya bure duniani ati
HahahahaAhsante Numbisa.Lile kaburi nalisubiria nilifukue Aseno akishindwa kufanya maajabu
Sio leo ni siku akikutana na man city
Kwani leo ndo anavaana na Man City?
Kama Numbisa anataka kujumlisha na hili deni sugu korofi basi aongeze ziwe likes 300. Tunafuta deni la Uniq na lako...
Aaah hapo umevunja makubaliano daah mpaka mnyakyusa wa watu anatoa talaka bila kupenda,mke anampenda ila den la mahari mwiba mkali
November 7 ama?
Shemeji nimetunza ushahidi wa ahadi yakoMbona alikubali? Na makaratasi akasaini? Mbele ya mashahidi? Uwezo wa kulipa anao tena kwake ng'ombe 15 ni vijisenti tu. Mbona asilipe tu yakaisha?