Hayaaaaaa[emoji134] [emoji134] [emoji134] [emoji134] [emoji134] [emoji134]carbamazepine, yaani hapa ni mpaka to the moon and back! Kamata hiyo.
View attachment 619298
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji124][emoji124]
[emoji125] [emoji125] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Haya we hangaika. Ukiwa tayari niambie...
Asantee BAK[emoji4] [emoji4] [emoji4] [emoji4] [emoji4] [emoji4]Nafurahi kusikia uko poa kabisa. Ukianza kuzipenda nistue ili "nikupe" maana nishaanza collectios ya kufa mtu 🙂🙂
[emoji23] [emoji23] [emoji23] bwana mdogo umejawa na madharau ...Embu tulia, Yego anahangaika hapa wewe! [emoji23][emoji23]
Tenda wema usingoje shukurani...msaidie anaeonewa kutetea haki...Karibu mkuu....[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Lakini Cole yeye mbona hashiriki kwenye vita hivi? Kila siku tunampigania. Why?
Hata mimi kanichosha kwakweli,yeye sijui hata yuko wapi yaani mimi kila siku napambaniwa na mashemeji mwenyewe yuko hukoooo anakula bataz tu
Yego hata mimi simtaki sasahivi bora nibaki kwenye ukoo tu hata kama peke yangu[emoji47][emoji47][emoji47]
Jakito[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Sawa kabisa.Talaka atapewa kwa sharti la kubaki kwenye ukoo.Huyu bro nimeanza kuwa na wasiwasi naye. Kila siku sisi ndo tupambane. Tunakaribia kuchoka aisee. Itafika mahala hata kama ni talaka umlime tu kwa kweli liwalo na liwe. Ila Yego hatumtaki. Bakia kwenye ukoo wetu !!!
Asantee BAK[emoji4] [emoji4] [emoji4] [emoji4] [emoji4] [emoji4]
Nico, Zengekala & Juwata Jazz Band. JJB. Hiyo ni ndani ya Wami bar Mwanyamala, Mundo Bar Temeke, holi la polisi Chang'ombe. Kigongo bar Buguruni, Mazulia Vingunguti, River side Ubungo nk. 1985-1987. Nico zengekala, moshi William, Tino *******, Shaaban Dede, Fresh Jumbe, Suleiman Mbwembwe. Abdi Ridhiwani, Joseph Rusungu, Mnenge Ramadhani, Kassim Mponda, Chini ya uongozi wa Saidi Mabera "dokta"Ulinipa ahadi tukutane kwenu..nikitumaini nimewahiii..nilichopata kwako ni matusi na dharau telee...[emoji445][emoji445][emoji445]
Lazima niseme...natoa sumu,sitaki iniueJamani[emoji134][emoji134][emoji134][emoji134]
Shemeji unagubu wewe khaaa!