Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

[emoji57][emoji57][emoji57][emoji57][emoji57]hata sitaki,maua pelekea nyuki
She is strong Everyday
[emoji123][emoji123][emoji123][emoji123][emoji123][emoji123][emoji123][emoji123][emoji123][emoji123][emoji123][emoji123][emoji123][emoji123][emoji123][emoji123][emoji123][emoji123][emoji123][emoji123][emoji123][emoji123][emoji123][emoji123]
 
Huyu bro nimeanza kuwa na wasiwasi naye. Kila siku sisi ndo tupambane. Tunakaribia kuchoka aisee. Itafika mahala hata kama ni talaka umlime tu kwa kweli liwalo na liwe. Ila Yego hatumtaki. Bakia kwenye ukoo wetu !!!
Ups and downs are there
We gotta stay strong bro usichoke kunilindia mali yangu
 
Shemeji ajiangalie aisee....akipewa talaka halafu abakie ukooni mh!!


Naota naota nadanganywaaaa[emoji445][emoji445][emoji445][emoji445]
Myoyaa myoyaaa...myoyaaaaa...usiharibu ndugu yangu.Shemeji atatunzwa tu na huduma zoooote atapata(namaanisha zoooooteee) bila tatizo[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Yaani wewe,nishapewa ruhusa ya kukulima talaka jiandae[emoji124] [emoji124] [emoji124]
 
Hata mimi kanichosha kwakweli,yeye sijui hata yuko wapi yaani mimi kila siku napambaniwa na mashemeji mwenyewe yuko hukoooo anakula bataz tu
Yego hata mimi simtaki sasahivi bora nibaki kwenye ukoo tu hata kama peke yangu[emoji47][emoji47][emoji47]
Keep your head up baby girl
We meant to each other
Baki na mimi [emoji171][emoji171][emoji180][emoji171][emoji180]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…