Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

KENYA YAGEUZWA DARASA LA MICHEZO YA DEMOKRASIA YA AFRIKA
Kama kawaida, Afrika ni kichwa cha mwendawazimu. Hata kwa hii demokrasia naamini tunachezewa tu. Hatukuwa tayari na hatujui hata maana yake ni nini. Tulikubali kwa sababu wakubwa walisema tungekataa tungekosa misaada yao. Muda si muda sharti la kurasmisha ushoga laja. Sijui napo tutakubali au itakuwaje. Umasikini mbaya !!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…