Mzee Mwasapila. Alihamishia serikali nzima kijijini kwake. Huyu mzee kiboko [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Nimemsikia kwa kweli!Safi tu za kutekwa na mihela?karibu tena
Naimani mzee wa liver leo atalala vizuri sana,ulimisika huku
Kwema,hata sijakaa sana humu leo nilikuwa nachungulia na kutoka...Nipo shemeji. Kwema? Siku nzima nakuona tu unaserebuka na akina Mwifa, KK na wapendwa wako wengineo. Niliamua tu kuuchuna. Asante kwa salamu angalau. Siku yako imeendaje?
HahahahaMamba wako umewabadilisha na kuwa vimbwa? What's going on?
Liftiii......Kwema,hata sijakaa sana humu leo nilikuwa nachungulia na kutoka...
Siwezi acha kukusabahi.