myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,811
- 721,144
amani ndio msingi wa nchi
Kufwa bado. Lakini hata kukifika haijalishi sana. Aurelius (?), mwanafalsafa mmoja wa kale kutoka Ugriki aliwahi kuuliza, kuna tofauti yo yote kwa mtu anayeishi miaka 100 na yule anayeishi miaka 1,000?Hahahaha
Vipi shimba wafwa nini?
Hahahaha
Kifo hakiogopeki mkuu. Ni kazi bure kuogopa vitu ambavyo ni absolute. Kumekuchaje?Naona anaogopa kifo [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Good morning my love
Same to you. Good luck !!!My dears
Biashara imeita tena
Ina bidi nisafiri
Vitu ni vingi sana na inataka my full attention!
I love you all wa uzi huu!
NAWATAKIA MAISHA MEMA NA YENYE BARAKA TELE
TUZIDI KUOMBEANA KATIKA KILA JAMBO JEMA
MAADUI ZETU WOTE WAFE NA VIZAZI VYAO MILELE YOTE!
Nasi tuzidi kupata hekima na baraka tele!
NAWAACHA KWA AMANI NA AMANI IZIDIO AKILI ZOTE ITAMALAKI ROHONI MWETU MILELE
TUMPENDE NA KUMBARIKI MAMA YETU TANZANIA KILA WAKATI
NA TUMTUNZE NA KUMLINDA OUR PRECIOUS MOTHER TANZANIA!
I LOVE YOU ALL And
REMAIN BLESSED MY LOVE ONES!
Hii ni kwaheri ya kuonana!
Aisee. Kafikaje humu? Ni star?Halafu shimba huyu mdada namjua
Gr8 kwa kweliNzuri Kiongozi.
Ahsante sana Kiongozi.
Ubarikiwe sana Kiongozi.
Vipi na Wewe Kiongozi?
Mambo yanakwendaje Kiongozi?