mzee wa liver
JF-Expert Member
- Dec 14, 2014
- 83,467
- 431,962
AMUN RAAMUN RA
AMUN RAAMUN RA
AMUN RAMwenye Enzi Mungu ibariki nchi yangu Tanzania milele yote!
Poa kabisa Siku inaendeleajeGood Morning mzee wa Ini.
za kwako?
Chochote kikizidi ni hasaramvua ni maji, maji ni uhai..ila ikizidi ni maafa
15:1709:31
[emoji639]Nzuri Numbisa
Iko salama kabisa MpendwaPoa kabisa Siku inaendeleaje
AMUN RAMy dears
Biashara imeita tena
Ina bidi nisafiri
Vitu ni vingi sana na inataka my full attention!
I love you all wa uzi huu!
NAWATAKIA MAISHA MEMA NA YENYE BARAKA TELE
TUZIDI KUOMBEANA KATIKA KILA JAMBO JEMA
MAADUI ZETU WOTE WAFE NA VIZAZI VYAO MILELE YOTE!
Nasi tuzidi kupata hekima na baraka tele!
NAWAACHA KWA AMANI NA AMANI IZIDIO AKILI ZOTE ITAMALAKI ROHONI MWETU MILELE
TUMPENDE NA KUMBARIKI MAMA YETU TANZANIA KILA WAKATI
NA TUMTUNZE NA KUMLINDA OUR PRECIOUS MOTHER TANZANIA!
I LOVE YOU ALL And
REMAIN BLESSED MY LOVE ONES!
Hii ni kwaheri ya kuonana!
Asante my lovely Queen kwa kuja kutusabahiBiashara imeita nanyanyua jamvi!
I wish you well my dear!
Kama Whitney alivyosema kwenye movie ya the body guide!