Njema bro, habari za DOMHabari za mchana huu wanalikes
Uhai upo, maradhi yapo,umauti upo. Tufanye yote, lakini ipo siku tutaicha dunia hii ambayo twaipendaKifo hakiogopeki mkuu. Ni kazi bure kuogopa vitu ambavyo ni absolute. Kumekuchaje?
[emoji109] [emoji109] [emoji109] [emoji109] pokea gwalaumoja na mshikamano wetu
Hakuna tofautiKufwa bado. Lakini hata kukifika haijalishi sana. Aurelius (?), mwanafalsafa mmoja wa kale kutoka Ugriki aliwahi kuuliza, kuna tofauti yo yote kwa mtu anayeishi miaka 100 na yule anayeishi miaka 1,000?
Kwema?
Viwanda ndiyo kipaumbele chetukilimo ndio uti wa mgongo..
Amani yetuamani ndio msingi wa nchi