myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,811
- 721,144
Likes za mchana
Nzuri NumbisaHabari wanalikes wote
Aminajua linachomoza na matumaini mapya
Na neema teleMungu atujaalie baraka
AminaAshukuriwe muumba wa Mbingu na Nchi
15:0514:03
Stress free zoneKwa kweli
Huu uzi safi sana
AMUN RAWatanzania ni watu wenye hekima
YapWatanzania wana upendo na ukarimu tele
[emoji23] [emoji23] mapema hivii au shibe[emoji14]duh! 15:08
nilikwa nasinzia aisee
WordThank my dear.
Dont worry ni kawaida ya maisha. Tunalala wengi tunaamka wachache dunia hii
Acha tu..[emoji16][emoji16][emoji16][emoji23] [emoji23] mapema hivii au shibe[emoji14]