Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Kila "tunayegongana" naye huko maishani is either a blessing or a lesson. Shida ni pale tunapochelewa kumng'amua mtu kama ni mibaraka kwetu au ameletwa ili kutufundisha kitu. Tunaishia kuumizwa. Na kibaya zaidi ni pale tunapong'ang'ana na kujiombea mibaraka wakati kwa wengine huko tu "mafunzo".

Hebu na tukawe mibaraka kwa wale wote ambao Mungu Amewaleta katika maisha yetu....

[emoji117][emoji117][emoji117] Nakusalimia baby. Siku yako inaendeleaje? Tumshukuru Mungu [emoji120][emoji120][emoji120][emoji120]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…