Vihatarishi vya tatizo la unene wa kupitiliza
Aidha yapo mambo kadhaa ambayo yanaweza kumuhatarisha mtu kupata unene wa kupitiliza. Mambo haya ni pamoja na
Kukua kwa uchumi wa nchi - Wananchi wengi wanaoishi kwenye nchi zilizoendelea au wenye kipato kikubwa ndio wanaopata tatizo hili kutokana na kuishi mfumo wa maisha ya kivivu na hali ya kutokufanya mazoezi (sedentary lifestyle).
Historia ya kuongezeka uzito uliopitiliza kwenye familia nayo yaweza kuhatarisha mtu kupata tatizo hili. Aidha, si jambo la kushangaza kuona karibu familia nzima au wengi wa wanafamilia kuwa wanene kupitiliza.
-Kutojishughulisha na chochote (inactive).
-Kupenda kula sana kuliko kawaida (overeating).
-Kula vyakula vya mafuta mengiKutumia dawa zenye madhara ya kuongeza uzito uliopitiliza
.-Kuwa na ugonjwa wa vichocheo mwilini (hormonal disorders) kama cushing syndrome, hypothyroidism.
-Kuwa na msongo wa mawazo au kuathirika kisaikolojia.
Katika kupambana na upweke katika Ulimwengu huu, Ni moja ya hisia yenye ngumu zaidi ya kuwa peke yako, unaweza kuwa unahisi maumivu ya kuwa peke yako. Ukweli ni kwamba hili sio tatizo rahisi kulitatua.Lakini kuna njia ya kuendelea.
Watu waliopo katika hali hii hufikiri kuwa kuna kitu ambacho kinawazuia au kinasababisha kukataliwa na wengine. Na huogopa kuwa katika hali ngumu, na Kuumizwa na wengine, kujilinda wao wenyewe, kujizuia katika hisia zao. hii inasababisha kuwepo na umbali kwa watu ambao wanataka kujiunganisha nao.
Kwa hio unapojitahidi kuwa peke yako, ni muhimu kujiuliza mwenyewe kama kweli uko wazi kuwa na watu. au hamu yako ni kujilinda mwenyewe. Huenda unawakataa kabla ya kuja kwako.
Jichunguze unapokuwa umeumizwa au kukataliwa. Uliumia kupita kiasi? Au ulitendewa kitu kibaya nje ya mstari. Kama huwezi kugundua hivi vitu , jaribu kuuliza kwa mtu fulani unayemwamini ili kupata maoni yao. kuwa rafiki, na mtu unayempenda au mshauri.
Ukigundua kuwa tatizo ni kubwa katika mtazamo wako na matendo yako, chukua note kwa hilo. utakapokuwa unafikiria kuhusu hili, ndivyo unavyokuwa tofauti. utaanza kuwa muwazi zaidi na utaweza kujiunganisha na wengine. lakini inabidi kuchagua rafiki kwa umakini mkubwa. Isije ikawa risk kwako na ikakuogopesha zaidi.
Bila shaka unaweza kuendeleza urafiki kama una nafasi ya kutosha. kutana na watu mbali mbali sehemu nzuri hasa kwenye sehemu za kujitolea, kama vituo vya watoto yatima, wajane, kuwa mwenye nguvu katika kuchangia mawazo muhimu katika jamii. Fanya kitu ambacho roho yako inapenda kukifanya na unajisikia vizuri na mwenye furaha.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.