Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Tunapokaa chini na marafiki, tunaongea nao na pia tunawapa nafasi ya kuongea. Ni vile vile tunapoongea na Mungu wetu, Anahitaji nafasi ya kuongea na sisi pia. Siwezi kufikiria muda mwingi ambao nimemwacha bila ya kumpa nafasi ya kuongea kwa sababu nilikuwa na haraka ya kwenda kwenye kazi zangu, lakini sio leo. Tusifanye hivyo hata kidogo.
 
Baba , nisaidie kuwa na utulivu, wakati uliopo, Nionyeshe umuhimu wa kuacha haraka ninapokuwa kwenye uwepo wako. Sitaweza mwenyewe , nisaidie niwe na nidhamu ya kutosha kusikiliza ambacho unataka kusema .
 
Wapi Andaeitini, mtoto wa kitumbini, kata ya mchafukoge, katikati kabisa mwa jiji la Dar es salaam, njoo tukumbushane mambo ya rems hotel, nakhuda, the Khalid, new zahir, royal, cameo, meenaz, pop inn nk. Toka pale

Daaa, umenikumbusha mbali sana yakhe! Wakati ule mdingi kama amefurahi anakupa kidogo dogo, wewe huyoo mbio, break ya kwanza; Snow cream pale nyuma ya St. Joseph, karibu na bookshop! [emoji1][emoji1]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…