carbamazepine
JF-Expert Member
- Dec 30, 2015
- 46,577
- 285,648
Iko kwenye kona hapoHiyo hapo...
Safi sanaKaribu tupeane likes
[emoji1] [emoji1] [emoji1] mngevunjana vidole vya kutwangia likeHaha sipati picha ningekua nimeliambia janaume
We mitaa yote waitajaMjimkongwe
HahaaHaha sipati picha ningekua nimeliambia janaume
Ila we unajua ni ya nani.......Wenyewe mnaitamaniii
UnicefUnpi
Kula Like zako Dada. Nina hasira leo. Nipo Fire kama nyimbo ya DiamondUsimwache hata kwa utani utani
NimelikeAtakae Like hapa, namfata na mimi nampa Like popote atakapo post. Mambo ya like tu leo
Nipo mkuu naichungulia 50Kuniq upo jembe langu
Hahaha nikiona umekaribia nakuachia..Ujambazi huo sasa
PwezaKiembe samaki
Daaah unga mbayaChid benz na q chillahView attachment 530499