Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Mkuu kutokana na hali ya mambo ilivyo unalazimika kumiliki AK47 yako ili kujihami. Hapo kimeshanuka
 
Mkuu kutokana na hali ya mambo ilivyo unalazimika kumiliki AK47 yako ili kujihami. Hapo kimeshanuka
Hata uwe na AK 47 maelfu ukishtukizwa unauliwa tu. Navy Seals na Green Berets na mazagazaga yao yote wanaviziwa na mataliban na Boko Haram wakiwa kwenye ngamia wanauliwa sembuse huku mabarabarani?
 
Ugonjwa wa “Osteoporosis“
Osteoporosis ni hali ambayo husababisha kukonda kwa mifupa,na kuifanya iwe rahisi kuvunjika au kukatika.

Madini ya Kalsiamu katika mwili huhifadhiwa katika mifupa. Chumvi ya kupita kiasi katika chakula inaweza kusababisha kalsiamu kupotea katika mifupa na kutoka katika mkojo, na kufanya mifupa kuwa dhaifu na kuvunjika kwa urahisi.
 
Kunaushahidi wa kutosha wa kitafiti kuwa kuna uhusiano mkubwa kati ya ulaji wa chumvi kwa wingi na kansa ya tumbo, osteoporosis(hali ya mifupa kuwa rahisi kufunjika na tete kutokana na upungufu wa Kalsiamu na vitamini D),mawe ya figo,ugonjwa wa figo na mwili kupoteza maji.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…