Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Wachache mno wenye uvumilivu wa kutumia dawa kwa wiki moja au mbili ili kupata matokea bora. Mtu yupo tayari kujitibu njia ya mkato kwa matokeo ya siku moja
 
Wachache mno wenye uvumilivu wa kutumia dawa kwa wiki moja au mbili ili kupata matokea bora. Mtu yupo tayari kujitibu njia ya mkato kwa matokeo ya siku moja
Siyo hivyo tu bali pia kuchanganya madesa kunahusika. Mtu anatumia sijui mkuyati. Hapo hapo anaweka na Red Bull halafu anakonkuludi na jibapa. Hapo unategemea nini? Viagra yenyewe sasa wameanza kuitolea maonyo makali kuhusu kuhakikisha kwanza afya ya mioyo ya watumiaji na kutochanganya na vilevi na visisimua mwili kama kahawa na Red Bull. Mtu unazimika ghafla na show ya kibabe unaikosa. But again, pengine ndo kufa kishujaa....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…