Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
Salama daima [emoji123][emoji123][emoji123][emoji123][emoji123][emoji123][emoji123][emoji123][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120]Unataka ajitokeze eeh?utabaki salama kweli[emoji143] [emoji23] [emoji23]
Pole!Full kuchoka
Kama kutembea na kuangalia wanavyofanya palizi sawa ila si kufanya kaziNingependa siku moja shemeji nikupeleke kwenye palizi ya mahindi kuanzia saa 12 asubuhi mpaka saa nane mchana.
Mambo[emoji119] [emoji119] [emoji119] [emoji119] [emoji119] [emoji119] [emoji119] [emoji119] [emoji119] [emoji119] [emoji119]
COLEWORLDLOVESYOU
Kutopaka kipodozi chochote sio kila saa mafuta loshen hadi muda wa kulalaNgozi inapumzishwajee??
Pole sanaFull kuchoka
AsantePole sana
NINA SHIDA NA LAPTOP YEYOTE ILE LENOVO, DELL HP. .BEI 300K KWA ALIYE ARUSHA ANAUZA TUWASILIANE.Natafuta laptop kwa aliye Arusha tuwasiliane. Bei 300k
Kumbe ndo unaingia? Basi Mungu Akawe nawe. Mimi sina cha kulalamikia. Mungu ni mwema...Siku ndo inaanza hivi shem,sijui kwa upande wako ikoje?
Hivi vitu si vya kukimbilia sema siku hizi vinakimbiliwa sana basi tu kwa vile washkaji wameoa na kuolewa na wewe wataka hivyo.
Ndoa si macho kusema kila mtu anayo[emoji125] [emoji125] [emoji125]
MKUU Shimba. Nakusalimu kwa jina la buana.Pole!
Masaa manane ya usingizi wa kweli yatarekebisha mambo...