Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Nasema hivii talaka sifuti ng'ooo[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
 
Picha nzuri sana mkuu, msafara wa nyani. Sadani national park bagamoyo, Selous game reserve vikumburu Kisarawe, Selous open area, Gonabis Magogoni Morogoro, unakutana na misafara ya kufurahisha kama hiyo
Kabisa mkuu ni nzuri sana, Inavutia sana kuiangalia, nadhani pia inahamasisha utalii wa ndani mkuu.
 
Eti huna uhakika kama wewe utatoa [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…