Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

PUMZIKA MASAA YA KUTOSHA
Wajua kwamba kitaalam mtu mzima anatakiwa kupumzika angalau masaa 7 kila siku? Hiyo siyo kwa afya ya mwili tu, bali hata kwa akili na ngozi! Pumzika masaa yako ya kutosha na ngozi yako itapata nafasi ya kujitengeneza vizuri na kujipendezesha yenyewe.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…