Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Kama ameniburoku,niombee aniburokue...
Nina shida nae kweli
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] vile jakitoo alivyo mcheshi sasa...
 

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]. We jamaa wewe. Na unategemea Cole atampokea? Ukimnenepesha kwa mbele basi utakuwa huna haki ya kumrudisha. Kazi ipo !!!
 
Vifo viwili vya wanasiasa vimetokea Kenya hivi karibu. Kimoja wanasiasa walikufa baada ya helikopita kuanguka na juzi gavana aitwaye Wahome alifariki kwa ajali ya gari. Katika vifo vyote kuna shahidi ameonekana akiwa amevaa miwani myeusi ya kijasusi. Miwani hiyo sasa inatrendi katika mitandao ya Kenya na baadhi ya picha zinachekesha sana !!!
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] vile jakitoo alivyo mcheshi sasa...
Ndo hapo sasa. Sijui nitafanyeje? Akiweka tu miziki yake Cole huyuuu na paraboz zake. Mara kaYego hakaa kanapayuka 'Kitoooooo! Yaani mtu inabidi ukae unazunguka zunguka humu kuangalia hali ilivyo. Hiki ndo kinaninyima raha !!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…