Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Yaan sjna malengo mpaka zitakapoishi ntaenda nazo mpaka mwisho wa uzi
Uzi hautaisha. Ndo tatizo lipo hapo sasa. ISIS angekuwepo na spidi yake ile nadhani kwa sasa angekuwa anakaribia milioni moja. Kuna Ruta na Mzee wa Liver mbele yako. Na wengine huku nyuma wanafuatia.

Nitakuwa nakuja humu kuchati na kukagua zizi langu basi....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…