carbamazepine
JF-Expert Member
- Dec 30, 2015
- 46,577
- 285,648
Sijakubali kuwa mke wake ujue?au ndo ukoo ushapitisha?Nipo mume wa Carba. Wewe vipi? Kwema huko kwako? Wapwa zangu hawajambo pamoja na dadangu?
Sijakubali kuwa mke wake ujue?au ndo ukoo ushapitisha?Nipo mume wa Carba. Wewe vipi? Kwema huko kwako? Wapwa zangu hawajambo pamoja na dadangu?
Kuna MTU amepiga krosi..Sijakubali kuwa mke wake ujue?au ndo ukoo ushapitisha?
Shemejiiiiiii[emoji23] [emoji23] [emoji23]Hatukupata hata muda wa kukaa vikao vya ukoo tayari ukawa ushajiwahi. Anyway, kama ni mke umepata ila tu kaa mbali na ipielo. Na ukumbuke kuwa kuna Yego naye anakuwashia indiketa. Jana mida ya wanga mpaka alizimia tukaanza kumpa CPR kisa Carba. Shauri yako !!!
HahahahaaaNsamaka anadai ndoa yake ipo salama na jana tu alikuwa Tukuyu kwa Andjul. Ni kama sinema la Kikorea bila subtitles...[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hata 5mins zilikuwa nyingi aiseeh[emoji23] [emoji23] [emoji23]Unafikiri huyu boifrendi alichukua muda gani kufika home? Women - you have all the power in the universe [emoji125]♂️[emoji125]♂️[emoji125]♂️[emoji125]♂️[emoji125]♂️[emoji125]♂️[emoji125]♂️
![]()