Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Mwe mwe mweee!!! [emoji134] [emoji134] [emoji134] mfwile lilino...
Ipielo sio jirani yangu kabisaaa,ila kumshinda tineja ndipo pana kazi...
Nimehangaika sana kumtafuta carba kwa mfumo tofauti simpati...ni nini? Mwenzangu utakuwa umeonana nae siku za karibuni labda?
Mmmh!hebu rudia haya maelezo
 
Sijakubali kuwa mke wake ujue?au ndo ukoo ushapitisha?
5bebb57a638ecff1933c0651b6f49615.jpg

Heee!!!
 
Haiwezekani...
Nitakaa kikao na ndugu yangu Cole. Lazima carba abaki kwetu,naamini Cole atabadilika kwenye mwezi wa tano mwakani(hakutakuwa na ipielo wala yusielo) na carba nitamrudisha kwa mume (bila kujali kama atakuwa amenenepa kwa mbele) waendelee na maisha yao."alichokuwa anakitafuta atakuwa amekipata(asema Shimba)" [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] undugu kusaidiana kwenye shida. Weraaaaaa weraaaaaa[emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji108] [emoji108] [emoji108] [emoji108]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Jamani[emoji134] [emoji134] [emoji134]
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]. Ubaya wa hizi likes ni kwamba hazina ukomo. Mimi nimeweka malengo. Ninayo namba kamili nikiifikisha tu basi nitapunguza sana kuingia humu. Shida sasa itakuwa zizi langu kwa sababu humu ukizubaa tu unakuta watu walishafanya yao. Yaani marevolusheni nje nje mpaka inakera !!!
Tuagane tu[emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124]
 
Back
Top Bottom