Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Kaeni kikao sasa muamue tena nawapa 24hrs muwe mshafikia maamuzi la sivyo nafanya maamuzi magumu.
Halafu shem hii ndoa mpya mbona kama unaiwekea vipingamizi[emoji87] [emoji87] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
Kikao kitakuwa kigumu kwa sababu mhusika mmojawapo mkuu ndiye kajiozesha. Aliyelimwa talaka naye haonekani sijui ndo amesusa jumla. Hicho kikao kitaendeshwaje sasa?
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]. Andjul bwana dah! Subiri kaYego kakija. Labda usinywe maji leo. Utaviona vimamba kwenye glasi !!!
 
[emoji3] [emoji3] [emoji3]K umbe kwenye utani huu kuna watu wanafanya kweli!!!! duuuu[emoji3] [emoji3] [emoji3]
Utani huu ndiyo sababu kuu mojawapo inayonifanya niumiss uzi huu. Na kwa asilimia 99.99 huu ni utani japo pia haitashangaza kama michomozo ya hisia za kweli itajiibua hapa na pale [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…