Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Kwa kweli , ukichukulia siriaz hapa pia utatoa povu la haja au laa utakimbia uzi[emoji3] [emoji3] [emoji3] maana hapa pia kuna watu wanafyatua si mchezo
Wanafyatua kijanja janja na kwa upendo. Ndiyo raha yake. Siyo kama kule kwenye majukwaa mengine huko [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Acha kushabikia ndugu yangu,leo kwako kesho kwa Yegomasika.Haya maisha tu...
 
JINSI YA KUPUNGUZA ULAJI WA MAFUTA NA FAIDA ZAKE

Sote tunakula mafuta. Na sote tupo katika hatari ya kupata au kuendelea kuwa na matatizo yanayosababishwa na mafuta mengi mwilini
 
Hii ni kutokana na ukweli kwamba mafuta mengi huleta matatizo na kumuweka mtu katika hatari ya kuwa na unene na uzito mkubwa na uliopitiliza, kupata na shinikizo kubwa la damu, kupata kisukari, kupata magonjwa ya moyo na kadhalika.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…