Sio kwa essay hii[emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124]Cole mdogo wangu,hii vita niliipigana kwa moyo wangu wote na wa Shimba kwa pamoja hadi siku umetufukuza kwenye mapamabano.
Hakuna kilicho haribika ndugu yangu,narudi tena kwenye uwanja wa vita kwa ajili yako.
Nataka amani ya nafsi yako ipatikane tena, carba arudi nyumbani kwako kwa ghalama yoyote ile.
Nisamehe mdogo kama kuna sehemu nilizembea kukulinda
Narudi rasmi kukulinda.
Shimba ya Buyenze,nakuomba unisaidie kurestoo amani ya broo wako...chonde chonde[emoji120] [emoji120] [emoji120]
Plzzz Cole siwezi fanya kwa kweli. Ule mkataba wa picha nauchana rasmi,kuanzia sasa nitaiongoza vema familia yako.Piga shangwe bro
Tumoghele Tumoghele aaaaha Tumoghele andjul ahaa Tumoghele [emoji445][emoji444][emoji441][emoji443][emoji447][emoji443][emoji445][emoji444][emoji441][emoji442]
SIKUAMINICole mdogo wangu,hii vita niliipigana kwa moyo wangu wote na wa Shimba kwa pamoja hadi siku umetufukuza kwenye mapamabano.
Hakuna kilicho haribika ndugu yangu,narudi tena kwenye uwanja wa vita kwa ajili yako.
Nataka amani ya nafsi yako ipatikane tena, carba arudi nyumbani kwako kwa ghalama yoyote ile.
Nisamehe mdogo kama kuna sehemu nilizembea kukulinda
Narudi rasmi kukulinda.
Shimba ya Buyenze,nakuomba unisaidie kurestoo amani ya broo wako...chonde chonde[emoji120] [emoji120] [emoji120]
Happierand if he breaks your heart like lovers do, just know that I'll be waiting here for you ...
-[emoji89]