Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Asante mkuu. Ila Carba tu akija hapa busara zetu zinapotea ghafla sijui kwa nini [emoji23][emoji23][emoji23]
Binti anatupelekesha sana.Amekuwa kiungo mzuri sana kuhakikisha uzi unakuwa sio wa kimya kimya(Numbisa na ushauri,myoyambendi na updates, Ruta na taarifa,moud na mzee wa liver kwenye uhamasishaji,BAK na HARUFU picha na nyimbo,Shimba ya Buyenze na mambo ya imani,kutiana moyo na mambo yetu yaleee...) na kuchosha watu.
Hakika ana umuhimu wake kwa kweli...
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] umekwepa kistaarabu sana
 
safi sana mkuu...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…