Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
Yeeeeeees. Ungangari katika maisha ni muhimu sana. Mungu Atupe nguvu na uzima. Mengine yote madogo [emoji120][emoji120][emoji120][emoji120]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] yaani siku ikipita bila kuchungulia humu unaumia kweli.Hapo Mzee Ruta naye bado hajadondosha picha 10 za wachezaji na maselebriti wa Ulaya kwa mpigo. Huku Myoya naye anahimiza uzalendo, Cole anashusha paraboz kwa "mate" wake...ali mradi raha tupu [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ila sijaona uzuri hapa [emoji19] [emoji19] [emoji19]Wanyakyusa wazuri nyie acheni tu !!!
"Beauty is in the eyes of the beholder" - AristotleIla sijaona uzuri hapa [emoji19] [emoji19] [emoji19]
Hakika ni zaidi ya kufahamiana.Tunaishi pasi magomvi tukiwa zaidi ya watu ishirini.safi sana mkuu...
Actually ni lazima wengine waondoke katika msafara wako - hata kama ni madereva wako au wasoma ramani. Umenipata mke?