Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

"The beauty is in the eyes of the eyes of the beholder" - Aristotle

[emoji117][emoji117][emoji117] Ila sijaona ubaya hapo [emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] ila nimejisemea mm mkuu

Make cha kwanza nimewaza kwanza angelikua kanyoa kipara [emoji23] [emoji23] [emoji23] ingelikuwajee
 
Muone Dr. Numbisa. Pengine hupati lishe bora wewe [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] Numbisa ananikwaza sehemu ndogo sana...Kwenye kimea (ulabu) anasisitiza saana madhara yake,kuna muda nakuwa na kaglasi kapo pembeni,ile unahama page tu Numbisa huyooo...mara paaaap "madhara ya pombe" aaarrrg!!!!!!
 
Omba ufafanuzi. Kuna faida nyingi za unywaji pombe hasa ule wa kiasi...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…